Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA WAZIRI MKUU

Habari

Mwili Hayati Cleopa Msuya wawasili Mwanga


Kuwasili kwa Mwili wa Aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (mstaafu), Hayati Cleopa David Msuya ukiwasili katika Viwanja vya Cleopa David Msuya, katika Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro leo Mei 12, 2025.