Logo
TAARIFA KWA UMMA
Thursday, 02 February 2017 15:02   

TAARIFA KWA UMMA

Ofisi ya Waziri Mkuu inapenda kuwatangazia umma wa watanzania pamoja na Wadau wake wote kwa ujumla kwamba, kuanzia Tarehe 1/2/2017 Anuani ya Ofisi ya Waziri Mkuu itakayo tumika ni:

“OFISI YA WAZIRI MKUU,
S.L.P. 980 DODOMA,
SIMU: 026 2322480.
FAX: +255262324534
Barua pepe: This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it .”

Badala ya Anuani ya sasa Ambayo ni

“OFISI YA WAZIRI MKUU
S.L.P 3021 DAR ES SALAAM,
TANZANIA.”

Hii ni kutokana na viongozi na watendaji wakuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu kuhamia Makao Makuu ya Serikali Dodoma.


IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
OFISI YA WAZIRI MKUU

31/1/2017

 
Our website is...
 
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday53
mod_vvisit_counterYesterday72
mod_vvisit_counterThis week125
mod_vvisit_counterLast week863
mod_vvisit_counterThis month2139
mod_vvisit_counterLast month4178
mod_vvisit_counterAll days503490
Copyrights ©2013, The United Republic of Tanzania, Prime Minister's office All Rights Reserved