Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Zamani wa Kibaha Mjini, Zainab Gama kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 3,2012.
Waziri Mkuu kesho kukutana na madaktari waliogoma
Dar es Salaam, 28 January 2012
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda kesho (Jumapili, Januari 29, 2012) atakutana na madaktari waliofanya mgomo kwenye ukumbi wa Karimjee kuanzia saa 4:00 asubuhi.
read more
KUKANUSHA TAARIFA ZA UPOTOSHAJI ZA GAZETI LA TANZANIA DAIMA
Dar es Salaam, 27 January 2012
OFISI YA WAZIRI MKUU imesikitishwa na habari iliyochapishwa na gazeti la TANZANIA DAIMA toleo namba 2610 la Alhamisi, Januari 26, 2012, kwenye ukurasa wake wa kwanza yenye kichwa cha habari: read more
Other news
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Dk. Mary Nagu (Mb) amewataka wahitimu wa vyuo vikuu katika fani mbalimbali hapa nchini kutumia elimu na utaalamu... Read more
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Dk. Mary Nagu (Mb) amewataka wananchi kujiunga katika ushirika wa kuweka na kukopa ili waweze kuongeza uwezo... Read more
Serikali imeyataka makundi mbalimbali katika jamii kuanza mchakato wa kupata maoni juu ya mapendekezo ya katiba mpya ili kuvisaidia vyombo vitavyopewa dhamana ya kukusanya... Read more
Hotuba ya Mhe. Mizengo P. Pinda (Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kwenye Mahafali ya Tatu ya Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), tarehe 21 Januari, 2012...
Hotuba ya Mhe. Mizengo P. Pinda (Mb), Waziri Mkuu wa Tanzania akifunga Maonesho ya Kuadhimisha Miaka 50 ya Uhuru katika Uwanja wa Mwalimu J. K. Nyerere, Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam, tarehe 12 Desemba, 2011...
kama Bunge, lakini mmoja mmoja kama watumishi wa umma, tunao wajibu mkubwa sana wa kuishi na kutenda kwa mfano. Tujiepushe na tamaa zinazoweza kuliingizia Taifa hili hasara kubwa.
Kauli ya Waziri Mkuu kuhitimisha mjadala wa Richmond,
Mkutano wa 18 wa Bunge, Februari 10, 2010
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu, mstaafu, Jaji Joseph
Warioba kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salam