Habari
Dkt. Biteko akiteta jambo na Mbunge wa Urambo
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiteta jambo na Mbunge wa Urambo, Mhe. Magreth Sitta, Bungeni Jijini Dodoma wakati wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka 2025/2026 katika mkutano wa kumi na tisa wa Bunge, kikao cha kumi na tatu Aprili 29, 2025 Jijini Dodoma.