Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA WAZIRI MKUU

Habari

Viongozi wawasili viwanja vya Bunge kuaga mwili wa Hayati Ndugai


Viongozi mbalimbali wakiwasili katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kwaajili ya kushiriki ibada maalum ya kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai leo tarehe 10 Agosti 2025 ambapo Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatarajiwa kuongoza Watanzania kuauga.