Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA WAZIRI MKUU

Habari

Maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 yapamba moto


Makatibu Wakuu wakutana kujadili maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 Zanzibar wakati wa Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi inayotarajiwa kufanyika tarehe 23 Agosti 2022.Kikao hicho kilifanyika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Verde Zanzibar.