Habari
Dkt. Yonazi aongoza kikao cha Maandalizi ya mazishi ya Hayati Cleopa Msuya
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha Kamati Tendaji ya Maandalizi ya Mazishi ya Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa David Msuya kilichofanyika tarehe 09 Mei, 2025 katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es Salaam.