Habari
Dkt. Biteko ashiriki uapisho wa mawaziri
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Mshauri wa Rais Masuala ya Afya na Tiba, Profesa Mohamed Yakub Janabi mara baada ya hafla ya uapisho wa mawaziri na viongozi mbalimbali uliofanyika Ikulu ndogo Tunguu, Zanzibar, Desemba 10, 2024.