Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA WAZIRI MKUU

Habari

Dkt. Biteko ashiriki ibada AICT Mwanza


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko Novemba 3, 2024 ameshiriki ibada katika Kanisa la African Inland Church Tanzania (AICT) Makongoro jijini Mwanza.