Habari
Dkt. Biteko akihutubia wananchi katika sherehe za Mwaka Mpya Bulangwa
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akihutubia wananchi waliojitokeza katika sherehe za kuupokea Mwaka Mpya wa 2025. Sherehe hizo zimefanyika Januari 1, 2025 nyumbani kwake Kijiji cha Bulangwa wilayani Bukombe Mkoa wa Geita.