Habari
Dkt. Biteko akifurahia mandhari wakati akisafiri kwa treni ya umeme
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akionekana kufurahia mandhari ya nje wakati akisafiri kwa treni ya umeme ya mwendo kasi (SGR) kutoka Dodoma kuelekea Dar es Salaam Januari 14, 2025.