Habari
Dkt. Biteko akifuatilia hotuba ya Mhe. Rais Samia
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akifuatilia kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 27 Juni, 2025 Bungeni jijini Dodoma