Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA WAZIRI MKUU

Habari

Naibu Waziri Mkuu akiteta jambo na Waziri Lukuvi


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akiteta jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi, Bungeni jijini Dodoma Agosti 27, 2024