Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA WAZIRI MKUU

Habari

Dkt. Yonazi aongoza kikao cha Maandalizi ya kuelekea Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Muungango


Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha Kamati Tendaji ya maandalizi ya Maadhimisho ya Sherehe za miaka 60 ya Muungano kilichofanyika tarehe 8 Februari, 2024 Ukumbi wa mikutano wa ofisi yake Jijini Dodoma.