Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA WAZIRI MKUU

Habari

Dkt. Yonazi aongoza kikao maandalizi ya mazishi ya Hayati Cleopa Msuya


Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha Kamati Tendaji ya Maandalizi ya Mazishi ya Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa David Msuya kilichofanyika tarehe 09 Mei, 2025 katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es Salaam.