Habari
Dkt. Yonazi aongoza kikao cha Kamati Tendaji ya Program ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ameongoza Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Program ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) kilichofanyika tarehe 20 Juni, 2024 Jijini Dar es Salaam.