Habari
Dkt. Biteko azungumza na Waziri Lukuvi Bungeni
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi, katika Mkutano wa 17 wa Bunge, Kikao cha Kwanza jijini Dodoma Oktoba 29, 2024