Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA WAZIRI MKUU

Habari

Dkt. Biteko ateta na Waziri Kikwete bungeni


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu), Mhe. Ridhiwani Kikwete katika Mkutano wa kumi na tisa kikao cha thelathini na tatu Mei 27, 2025 jijini Dodoma