Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA WAZIRI MKUU

Habari

Dkt. Biteko akiteteta na Mhe. Saashisha


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akiteta jambo na Mbunge wa Hai Mhe. Saashisha Mafuwe katika kikao cha saba cha Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge jijini Dodoma Novemba 6, 2024