Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA WAZIRI MKUU

Habari

Dkt. Biteko ahani msiba wa Mzee Mganga Ngeleja


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ahani msiba wa baba mzazi wa William Ngeleja, Mzee Mganga Ngeleja aliyefariki Julai, 16, 2025 na kuzikwa jana (Julai 21, 2025) Kijijini kwake Bitoto, wilayani Sengerema, mkoani Mwanza.