Habari
Waziri Mkuu akisalimia na Naibu Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko wakati wa Tamasha la Kizimkazi lililofanyika katika Uwanja wa Mwehe, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.