Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA WAZIRI MKUU

Habari

Dkt. Doto Biteko ashiriki Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa na Kumbukizi ya miaka 25 ya Kifo cha Baba wa Taifa


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi "Kitabu cha Historia na Falsafa za Mwenge wa Uhuru" Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko mara baada ya kuzindua Kitabu hicho wakati wa maadhimisho ya Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukizi ya miaka 25 ya Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere, zilizofanyika katika Uwanja wa CCM Kitumba jijini Mwanza Oktoba 14, 2024

=MWISHO=