Habari
Dkt. Biteko mgeni rasmi usiku wa taarab Kizimkazi
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto leo Agosti 23, 2024 amehudhuria akiwa mgeni rasmi katika usiku wa Taarab unaofanyika katika Viwanja vya Kizimkazi,Dimbani Pwani.
Aidha, Dkt. Biteko ametembelea Mabanda ya Maonyesho ya vyakula vya asili ikiwa ni mwendelezo wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi linaloendelea Visiwani Zanzibar.
=MWISHO=