Habari
Dkt. Biteko ateta na Dkt. Tulia
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Oktoba 19, 2024 jijini Dar es salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson.