Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA WAZIRI MKUU

Habari

Dkt. Biteko ashuhudia kuwashwa mtambo wa tatu wa kuzalisha umeme JNHPP


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameshuhudia mtambo wa tatu wa kuzalisha umeme ukiwashwa mara baada ya kutembelea Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere (JNHPP), Rufiji Mkoa wa Pwani leo tarehe 16 Julai, 2024