Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA WAZIRI MKUU

Habari

Dkt. Biteko ashiriki Kikao cha Kamati ya Bunge


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, leo Januari 13, 2025, ameshiriki katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ambayo imepokea taarifa ya utendaji kazi wa Kampuni ya Uzalishaji Nguzo za zege (TCPM)

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Dkt. David Mathayo David, amemshukuru Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati kwa ushirikiano anaoutoa kwa Kamati na hivyo kuirahisishia utekelezaji wa majukumu yake.

MWISHO=