Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA WAZIRI MKUU

Habari

Dkt. Biteko ashiriki ibada ya mazishi


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameshiriki ibada ya mazishi ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Tawi la Kapela, Esta Rameck Msabila. Mazishi hayo yamefanyika Desemba 31, 2024 Ushirombo wilayani Bukombe Mkoa wa Geita.