Habari
Dkt. Biteko ashiriki ibada ya mazishi
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameshiriki ibada ya mazishi ya Modesta Joseph Kulwa ambae ni Mama mzazi wa Padre Julius Msobi Paroko wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Ushirombo Jimbo Katoliki la Kahama. Ibada hiyo imefanyika Desemba 30, 2024 Ushirombo wilayani Bukombe Mkoa wa Geita