Habari
Dkt. Biteko akifuatilia michango ya wabunge
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akifuatilia michango ya Waheshimiwa Wabunge kuhusu Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka 2025/2026 aliyoiwasilisha katika mkutano wa kumi na tisa wa Bunge, kikao cha kumi na tatu Aprili 29, 2025 Jijini Dodoma.