Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA WAZIRI MKUU

Habari

Dkt. Biteko afanya mazungumzo na Balozi wa Japan


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Januari 7, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Yasushi Misawa.