Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA WAZIRI MKUU

Wasifu

Mh. John Samuel Malecela
Mh. John Samuel Malecela
Waziri Mkuu Mstaafu

Waziri Mkuu wa Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Mheshimiwa Jaji Joseph Sinde Warioba. Alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia tarehe 9 Novemba, 1990 hadi tarehe 5 Desemba, 1994 akifuatiwa na Mheshimiwa Fredrick Tluway Sumaye.