Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA WAZIRI MKUU

Wasifu

Mh. Mizengo Peter Pinda
Mh. Mizengo Peter Pinda
Waziri Mkuu Mstaafu

Waziri Mkuu wa Kumi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Mheshimiwa  Edward Ngoyai Lowassa . Aliteuliwa tarehe 7 Februari, 2008 na kuthibitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia tarehe 9 Februari, 2008 hadi tarehe 5 Novemba 2015. Akifuatiwa na Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa