Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA WAZIRI MKUU

Habari

Waziri mpya wa Uwekezaji akabidhiwa Ofisi


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo amekabidhiwa rami Ofisi na aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki Desemba 10, 2020 Jijini Dodoma. Mhe. Mkumbo ameapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 9Desemba, 2020 Dodoma.

Awali kwenye serikali ya Awam ya Tano katika kipindi cha kwanza masuala ya uwekezaji yalikuwa yakiratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu na Waziri aliyekuwa na dhamana ya kusimamia masuala hayo ni Mhe. Angellah Kairuki. Kwa sasa Kituo cha Uwekezaji pamoja na masuala ya uwekezaji yamehamishiwa Ofisi ya Rais.

ENDS.