Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA WAZIRI MKUU

Habari

Waziri Mkuu aongoza mkutano kazi wa Mawaziri, Naibu Mawaziri


WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameongoza mkutano kazi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu na Viongozi Waandamizi wa Serikali uliofanyika leo Januari 21, 2026, katika Ukumbi wa Kambarage, Hazina, jijini Dodoma.

Katika mkutano huo, viongozi hao wamejadili utekelezaji wa masuala mbalimbali ya Serikali yanayolenga uwekezaji kwenye sekta ya umma na binafsi katika kuchochea maendeleo ya nchini.