Habari
OFISI YA WAZIRI MKUU YAKABIDHIWA GARI NA WFP
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Kasper Mmuya (kushoto) akipokea ufunguo wa gari kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Chakula Duniani (WFP) Sara Gordon Gibson wakati wa hafla ya makabidhiano ya msaada wa gari aina ya Toyota Landcruser Prado kwa ajili ya ufuatiliaji wa shughuli za za Lishe.