Habari
NAIBU WAZIRI NDERIANANGA Katika Kikao cha Bunge cha 27
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akizungumza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mary Masanja Wakati wa Bunge la 12 Mkutano 11 wa Bunge la Bajeti linaloendelea Jijini Dodoma.