Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA WAZIRI MKUU

Habari

WAZIRI MHAGAMA katika Kikao cha Bunge cha 15


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.  Pauline Gekul Wakati wa Bunge la 12 Mkutano wa 11Kikao cha 15 Mjini Dodoma.