Habari
Meja Jenerali Charles Mbuge aagwa Ofisi ya Waziri Mkuu mara baada ya kumaliza muda wake wa utumishi
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi (kushoto) akiagana na aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa katika ofisi hiyo Meja Jenerali Charles Mbuge (kulia) mara baada ya kumaliza muda wake wa utumishi katika ofisi hiyo.Ameagana naye tarehe 04 Oktoba 2023 katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dodoma.