Habari
Idara ya Menejimenti ya Maafa yashiriki maonesho ya Sabasaba
Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) imeshiriki katika maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara maarufu Sabasaba yanayoendelea ndani ya viwanja vya Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam Julai, 2023.