Habari
Dkt. Biteko ashiriki Kikao cha Baraza la Mawaziri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Machi 7, 2025 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kimehudhuriwa na wajumbe mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko.
MWISHO