Habari
Dkt. Biteko akutana na wawakilishi wa Kampuni za ENI na Offgrid
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa kampuni za ENI na Offgrid Sun kutoka Italia. Dkt. Biteko amekutana na wawakilishi hao tarehe 29 Oktoba 2024 katika Ofisi ndogo iliyoko Bungeni, Jijini Dodoma. kampuni za ENI na Offgrid Sun zinatekeleza mradi wa Nishati Safi ya kupikia kwa kutengeneza majiko banifu yanayotumia kuni na mkaa kidogo.