Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA WAZIRI MKUU

Wasifu

Mh. Joseph Sinde Warioba
Mh. Joseph Sinde Warioba
Waziri Mkuu Mstaafu

Waziri Mkuu wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Mheshimiwa Dkt. Salim Ahmed Salim. Ni mwanasheria, mwanasiasa maarufu, Jaji wa siku nyingi. Alikuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia tarehe 5 Novemba 1985 hadi tarehe 9 Novemba 1990 akifuatiwa na Mheshimiwa John Samuel Malecela.