Wasifu
Mh. Edward Ngoyai Lowassa
Waziri Mkuu MstaafuWaziri Mkuu wa Tisa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Mheshimiwa Fredrick Tluway Sumaye. Alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia tarehe 30 Desemba, 2005 hadi tarehe 7 Februari, 2008 alipojiuzulu na hatimaye kuvunjwa kwa Baraza la Mawaziri.Alikifuatiwa na Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda.