Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA WAZIRI MKUU

Wasifu

Mh. Frederick Tluway Sumaye
Mh. Frederick Tluway Sumaye
Waziri Mkuu Mstaafu

Waziri Mkuu wa Nane wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Mheshimiwa John Samuel Malecela. Alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia tarehe 28 Novemba, 1995 hadi tarehe 29 Desemba, 2005 akifuatiwa na Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa