Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA WAZIRI MKUU

Wasifu

Mh. Edward Moringe Sokoine
Mh. Edward Moringe Sokoine
Waziri Mkuu Mstaafu

Waziri Mkuu wa Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Aliwahi kuwa Waziri Mkuu mara mbili, tangu tarehe 13 Februari, 1977 hadi 7 Novemba, 1980  na mara ya pili kuanzia tarehe 24 Februari, 1983 hadi tarehe 12 Aprili, 1984 alipofariki kutokana na ajali ya gari.