TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
NduguWananchi,
Serikaliya Tanzania itakuwamwenyejiwaMkutanowa Kwanza waKamatiyaMawaziriwenyedhamanayaMenejimentiyaMaafakwaNchiWanachamawaJumuiyayaMaendeleoKusinimwaAfrikautakaofanyikatarehe 18 – 21 Februari, 2020, Zanzibar. MgeniRasmi, atakayefunguamkutanohuoniRaiswa Zanzibar naMwenyekitiwaBaraza la Mapinduzi.Mhe Dk. Ally Mohamed Shein.
KaulimbiuyaMkutanohuu: “UshirikiwaKisektakwenyeKupunguzamadharayamaafaninjia bora yakuimarishaustahimilivukatikaukanda wan chi WanachamawaJumuiyayaMaendeleoKusinimwaAfrika” (SADC).
Itakumbukwakuwa Tanzania ilichukuarasminafasiyaMwenyekitiwajumuiyakuanziamweziAgosti, 2019 kwakipindi cha mwakammojahadimweziAgosti, 2020
Mkutanohuuunafanyikakwamaraya kwanza visiwani Zanzibar tanguMhe. Dkt. John Joseph PombeMagufuli,RaiswaJamhuriyaMuunganowaTanzania akabidhiweuenyekitiwajumuiya. Kufanyikakwamkutanohuunifursakubwakwawananchiwa Tanzania kwaniutasaidiakukuzabiasharanautaliikatikanchiyetuhasavisiwavya Zanzibar nakuendeleakujitangazakimataifa.
NduguWananchi,
KamatiyaMawaziriwenyedhamanayamenejimentiyaMaafaimeanzishwakwalengo la kulishauriBaraza la Mawaziriwanchizajumuiyaya SADC kuhusumasualayaupunguzajiwamadharayamaafakikanda. Lengomahususi pia ni, kuwanajukwaa la kubadilishanataarifanauzoefuwakiutendajimiongonimwanchiwanachamailikutekelezakwaufanisishughulizausimamiziwamaafa.
NduguWananchi,
Mkutanohuuunakujakipindiambachonchinyingiwanachamakatikaukandahuuzimekuwazikiathiriwanamajangayaasilimarakwamaranakusababishamadharamakubwa. Sotetunakumbukaukamewamwaka 2016 ambaouliathiritakribaniwatumilioni 40 katikaukandahuunakusababishaukosefuwachakula. Idadihiiiliongezekahadiwatumilioni 41.6 katikanchi 13 Wanachamakipindi cha msimuwa 2018/2019.
NduguWananchi,
Baadhiyanchiwanachamaikiwemo; (Komoro, Malawi, Msumbijina Zimbabwe) kwamwaka 2019 zilipatamafurikoyaliyosababishwanaVimbungaIdaina Kenneth. Kutokanamadharayamafurikohayo, Gharamazamisaadakukabilianamadharanikubwa (zinakadiriwakuwadolamilioni 323)wakatigharamazakurejeshahalizilikadiriwakuwadolabilioni 10.
Ili kuwezakupunguzagharamakubwakatikaurejesahiwahalindiomaanakatikamkutanohuuwa SADC tutajadiliananamnayakuwekezakatikapunguzamadharayamaafa, kwakuwaGharamazausimamiziwamaafakamayaukamaenamafurikohuzilazimuNchiWanachamakuelekezarasilimalizilizotengwakwaajiliyashughulizazamaendeleonabadalayakekuelekezwakatikashughulikurejeshahali.
Sotetunakumbuka, matukioyaVimbungavyaIdainaKeneth, vilivyosababishaatharikubwakatikanchizaMsumbiji, Malawi na Zimbabwe.KutokananamadharayaVimbungahivyo, Nchiyetuilishirikiipasavyokatikahatuazakurejeshahalikwenyenchihizotatu .
NduguWananchi,
Kwa uzoefuwaainayamajangaambayohutokeakatikanchiza SADC, inadhihirishaumuhimuwaushirikianowakikandauliothabitikatikakukabiliananayo. Majangahayakwakiasikikubwayanatokananamabadilikoyatabianchinahaliyahewa, Pia yamekuwayakitokeamagonjwayamilipukoyawanyamanamazao, katikaukandahuuambaoasilimiakubwayawananchi wake hutegemeasanashughulizakilimokwaustawiwauchumi.
Hali hiiimekuwaikichangiakudumazaukuajiwauchumiwakikanda, hivyohatunabudikuchukuahatuakwapamojazakupunguzamadhara, kuimarishautayariwakikandanauwezowakukabiliananamaafa.
Aidha, katikakuchukuahatuazakuimarishaustahimilivuwakikandadhidiyamaafa, SekretarietiyaJumuiyakwakushirikianananchiwanachamaimekuwaikifanyajuhudimbalimbalizakuimarishaustahimilivukwakuandaaMpangowaDharurawaKujiandaanaKukabiliananaMaafa, kushirikianakuandaataarifazautabiriwamsimunakutoatahadhariyaawalikuhusuhatarizitokanazohaliyahewapamojanakutoamafunzokwawataalamwanchiwanachamakatikafanimbalimbaliikiwemotathmini, utafutajinauokoaji.
Aidha, baadhiyanchiwanachamaikiwemo Tanzania zimefaidikakwakupatavifaanamifumoyakufuatiliamajangayamafuriko, ukamena moto wamisitunikwaajiliyakutoatahadhariyaawalikupitiaushirikianohuo.
NduguWananchi,
Ili kwendasambambanajuhudizakikandanakimataifa, serikaliyaawamuyatanoinayoongozwanaDkt. John PombeMagufuli, itaendeleakuimarishauwezo wake wausimamiziwamaafakatikanyanjazote. TayariserikaliyaawamuyaTanoimetungaSheriayaUsimamiziwaMaafayaKitaifa Na. 7 ya 2015 nakanunizake, TunaoWasifuwaJanga la MafurikonaUkamewaKitaifanaMkakatiwaTaifaKupunguzaMadharayaMaafa;
Lengokubwa la serikalinikuhakikishakilasektainazingatiahatuazaupunguzajiwamadharayamaafakatikamipangoyamaendeleonauandaajiwabajetiilikupunguzamadharakwajamiinahasarazakiuchumi.
NduguWananchi,
MkutanowaKwanzawaKamatiyaMawaziriwanaohusikanaMenejimentiyaMaafakwaNchiWanachamawaJumuiyayaMaendeleoKusinimwaAfrikautakaofanyikamweziFebruari, 2020 visiwaniZanzibar unakusudiakuchocheajuhudizilizopokatikakupunguzamadharayamaafakwakutelelezayafuatayo:
- KujadilinakupitishaMkakatiwaKujiandaanaKukabiliananaMaafawaKikanda 2016 – 2030;
- KujadilinakuridhiaMfumoMkakatiwaUstahimilivuwaKikanda 2020 – 2025;
- Kupokeataarifazamaendeleojuuyautekelezajiwamkakatiwamabadilikoyatabianchinampangokazi wake;
- Mpangowapamojawamazoeziyanadhariayakukabiliananadharura, utafitinanjiambadalazakukabiliananamajangakatikakutoahudumazakibinadamu, urejeshajiwamiundombinukutokananamajangayaasili.
Asantenikwakunisiliza.
Mhe. JenistaMhagama (MB)
WAZIRI WA NCHI, OFISI YA WAZIRI MKUU
(SERA, URATIBU, BUNGE, UWEKEZAJI, AJIRA, VIJANA NA WENYE WALEMAVU)
13 FEBRUARI, 2020