Home |Quotes
Quotes
Speeches

Opening remarks by Rt. Hon. Mizengo P. Pinda (MP), The Prime Minister of the United Republic of Tanzania on the African Green Revolution Forum – Accra, Ghana, 2nd September, 2010...

Hotuba ya Shukrani kwa Wabunge kabla ya Mkutano wa Ishirini wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Kuvunjwa na Mheshimiwa Rais, Ukumbi wa Bunge, Dodoma, 15 Julai 2010...

More Speeches
Recently Documents

kk Quotes

kama Bunge, lakini mmoja mmoja kama watumishi wa umma, tunao wajibu mkubwa sana wa kuishi na kutenda kwa mfano. Tujiepushe na tamaa zinazoweza kuliingizia Taifa hili hasara kubwa.

Kauli ya Waziri Mkuu kuhitimisha mjadala wa Richmond,
Mkutano wa 18 wa Bunge, Februari 10, 2010
More Quotes
Videos
Photo Gallery

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Askofu Israel Mwakyolile wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Konde baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mbeya kwa ziara ya siku moja mkoani humo Juni 5, 2008. Kulia ni mkewe Tunu na wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, John Mwakipesile, watatu kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa Mbeya , Nawabu Mullah na wanne kulia ni Mstahiki Meya wa jiji la Mbeya, Athanas Kapungu.
More Photos
Documents and Publications


mgPrint friendly version mg Email this page
Search
Search From T0
Quotes

kama Bunge, lakini mmoja mmoja kama watumishi wa umma, tunao wajibu mkubwa sana wa kuishi na kutenda kwa mfano. Tujiepushe na tamaa zinazoweza kuliingizia Taifa hili hasara kubwa.

Kauli ya Waziri Mkuu kuhitimisha mjadala wa Richmond,
Mkutano wa 18 wa Bunge, Februari 10, 2010
Haiwezekani kiongozi upende kujilimbikizia mali ili upate umaarufu tu, ni lazima utatumia utajiri huo kuhonga ili kupata kandarasi na mikataba mikubwa...
Sherehe za miaka 33 ya CCM, Mpwapwa, Dodoma.
Februari, 06, 2010
Lazima tuendelee kukataa wenye tamaa ya mali kupindukia... huwa najiuliza sababu za watu kujilimbikizia mali kupita kiasi wakati mwisho wetu wote ni kichumba cha pembe nne....
Sherehe za miaka 33 ya CCM, Mpwapwa, Dodoma.
Februari, 06, 2010
“Tubadilishe tabia, itabidi tujitolee tu kama vile mtu anataka kujiua na tuwasaidie wakulima, wafugaji na wavuvi… katika bajeti tusiulizane, tuelekeze nguvu katika maeneo hayo…”
 
Akifungua mkutano wa siku tatu wa wadau wa mifugo
 mjini Dodoma (Jumatatu, Sept. 28, 2009)
Asilimia 70 ya wakulima nchini hutumia jembe la mkono, asilimia 20 wanyama-kazi na asilimia 10 tu matrekta... Hatuwezi kwenda mbele kwa jembe la mkono. Lazima tulime kwa kutumia zana za kisasa…”
Majumuisho ya ziara ya mikoa ya Mbeya, Iringa na Morogoro kukagua kilimo,
 hoteli ya B-Z, Morogoro Mjini,
01 Aprili, 2009
“Tusidanganyane, jembe la mkono halitatufikisha popote kama tunataka kweli kuendeleza kilimo. Lazima tuwasaidie wakulima kikweli kweli,
Majumuisho ya ziara ya mikoa ya Mbeya, Iringa na Morogoro kukagua kilimo,
 hoteli ya B-Z, Morogoro Mjini,
01 Aprili, 2009.
 
“Ma-RC na Ma-DC lazima wapimike. Lazima tuwajue wanasukuma vipi kilimo na elimu ili wakishindwa basi kiwe ni kigezo cha kuendelea na kazi zao ama la”
 
Majumuisho ya ziara ya mikoa ya Mbeya, Iringa na Morogoro kukagua kilimo,
 hoteli ya B-Z, Morogoro Mjini,
01 Aprili, 2009