Hotuba ya Shukrani kwa Wabunge kabla ya Mkutano wa Ishirini wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Kuvunjwa na Mheshimiwa Rais, Ukumbi wa Bunge, Dodoma, 15 Julai 2010...
Hotuba ya Mheshimiwa Mizengo P. Pinda (Mb) Waziri Mkuu Wakati wa Kufungua Kongamano la Vijana wa Vyuo Vikuu vya Dodoma katika Ukumbi wa African Dreams – Dodoma, tarehe 25 Juni 2010...
kama Bunge, lakini mmoja mmoja kama watumishi wa umma, tunao wajibu mkubwa sana wa kuishi na kutenda kwa mfano. Tujiepushe na tamaa zinazoweza kuliingizia Taifa hili hasara kubwa.
Kauli ya Waziri Mkuu kuhitimisha mjadala wa Richmond,
Mkutano wa 18 wa Bunge, Februari 10, 2010
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua maandalizi ya ukumbi wa mikutano katika
kituo cha kimataifa cha mikutano cha Arusha (AICC) May 30,2008.Mkutano wa Sulvan
unatarajiwa kufanyika katika ukumbi huo wiki ijayo. Kulia ni
mkurugenzi wa AICC, Elishiria Kaaya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)