Hotuba ya Shukrani kwa Wabunge kabla ya Mkutano wa Ishirini wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Kuvunjwa na Mheshimiwa Rais, Ukumbi wa Bunge, Dodoma, 15 Julai 2010...
Hotuba ya Mheshimiwa Mizengo P. Pinda (Mb) Waziri Mkuu Wakati wa Kufungua Kongamano la Vijana wa Vyuo Vikuu vya Dodoma katika Ukumbi wa African Dreams – Dodoma, tarehe 25 Juni 2010...
kama Bunge, lakini mmoja mmoja kama watumishi wa umma, tunao wajibu mkubwa sana wa kuishi na kutenda kwa mfano. Tujiepushe na tamaa zinazoweza kuliingizia Taifa hili hasara kubwa.
Kauli ya Waziri Mkuu kuhitimisha mjadala wa Richmond,
Mkutano wa 18 wa Bunge, Februari 10, 2010
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa
Misri, Dr Abuu Zeid (kushoto) na Naibu Waziri wa Viwanda ,Biashara na Masoko, Dr.
Cyril
Chami (kulia) nje ya ukumbi wa mikutano wa kituo cha Sharm El Shikh nchini Misri
May 18.2008. Watatu kushoto ni balozi Mohamed Mzale, Mkurugenzi wa Idara ya
Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.