Home Ask the Prime Minister
Ask the Prime Minister
mgPrint friendly version mg Email this page

Welcome to webpage which allows you to send question to the Prime Ministers The question will be answered directly to the one asking using contact given preferably email address the questions that are repeated ask for several different people will profile in this page for preference.

November 4 2007
Wambura Chacha
from Serengeti, Mara ask;

Mheshemiwa waziri mkuu naomba kuuliza wilaya ya serengeti ina kilomita za mraba elfu kumi na mia tatu lakini ina vituo viwili vya afya je serikalai ina mpango gani wa kutuongezea vituo vya afya ili kuondo kero ya wananchi kutembea umbali mrefu kupata matibabu?

Prime Minister;

Ni kweli Wilaya ya Serengeti ina kilometa za mraba 10,300 na ni kweli ina vituo vya afya viwili tu. Serikali ina mpango wa kujenga vituo vya afya katika kila kata na zahanati kwa kila kijiji. Kwahiyo mpango huu kwa kuwa utakuwa umeendeshwa Tanzania nzima kuanzia mwaka wa 2008/2009 na Serengeti ni mojawapo, kwahiyo huo ni mpango kabambe wa Serikali ili kuhakikisha kwamba huduma za afya zinatolewa katika kila kijiji na katika kila kata.

October 10 2007

Rashid Mhando from Dodoma, Dodoma ask;

Mhe. WAziri Mkuu, Je, Serikali ina mpango gani wa kurekebisha hali ya mazingira katika stendi ya mabasi ya abiria Dodoma ?

Prime Minister;

Stendi ya Mabasi ya Dodoma, haikidhi haja kwa abiria kwani stendi hiyo ni ya muda siyo ya kudumu kwa maana ya kwamba itahamishwa. Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma imeweka mikakati ya matengenezo ya Barabara zilizomo ndani ya eneo la stendi ikiwa ni pamoja na kuimarisha huduma za ulinzi na usafi. Kwa mwaka wa fedha 2007/2008 jumla ya shilingi 14,000,000 zimetengwa kwa ajili hiyo na matengenezo ya barabara hizo na yataanza mwezi Desemba, 2007.

>> More Questions and Answers

Please use from below to submit your question;

   
Full name
Gender
Email Address
District
Region
Your Question
 

 

mgPrint friendly version mg Email this page

 

Speeches

Address by Honourable Mizengo P. Pinda (MP) Prime Minister of the United Republic of Tanzania, at the 33rd Session of IFAD, Rome, Italy, 17th February 2010
Hotuba ya Mheshimiwa Mizengo P. Pinda (Mb), Waziri Mkuu wakati wa Kuahirisha Mkutano wa 18 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tarehe 12 Februari 2010, Dodoma
More Speeches
kk Quotes
…kama Bunge, lakini mmoja mmoja kama watumishi wa umma, tunao wajibu mkubwa sana wa kuishi na kutenda kwa mfano. Tujiepushe na tamaa zinazoweza kuliingizia Taifa hili hasara kubwa.
 
Kauli ya Waziri Mkuu kuhitimisha mjadala wa Richmond, Mkutano wa 18 wa Bunge, Februari 10, 2010
More Quotes
Videos
Photo Gallery
Waziri Mkuu Bw. Mizengo Pinda (kulia) akisikiliza jambo kutoka kwa mmoja wa madiwani 23 kutoka katika wilaya ya Namtumbo (hayupo pichani) ambao walimtembelea nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam leo mchana. Katikati ni Mbunge wa Namtumbo, Bw. Vita Kawawa
More Photos
Documents and Publications